KIMATAIFA

JUSTIN BIEBER ARUDI TENA INSTAGRAM BAADA YA KUJITOA KWA MUDA MREFU

on

Staa  Kutoka Canada Justin Bieber  amezua gumzo kurudi kwenye mtandao wa instagram ambao yeye mwenyewe aliwahi kuuita ni wa kishetani na hawezi kurudi tena.

Staa huyo  ame-post video yake ya kwanza Feb 3, 2017 ikimuonesha akifanya tangazo la kampuni ya simu, Alijitoa kwenye mtandao huo mwezi Agosti 2016,

 

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *