SIASA

TAARIFA KUTOKA OFISI YA MBUNGE JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI      

on

   
Mbunge Joshua Nassari Kata ya POLI shule ya msingi URAKI Ambapo katika ziara hyo ya kushutukiza aliongozana na Katibu ofisi ya Mbunge Julius Ayo
 
Diwani mwenyeji Frenk Ngoe Mbise Bob Kiss 
Diwani Kata ya Seela sing,is Penzila Palangyo
Diwan Kata ya Maruvango Samwel Nnko
Madiwan viti maalum Mery Antony Kata ya usa
Digna Nassari Kata ya Maruvango Neema Mbise Kata ya Maji ya chai Dina Mbise Kata ya maroroni
 
Mkt wa Kitongoji Mzee Mwanga .
Katika ziara hyo Mhe Mbunge alikutana na changamoto kubwa ya choo ambacho kimejaa na hakina milango na hakifai kwa matumizi ya binadamu
Hata hivyo tayari wananchi walishatangulia kuanza ujenzi wa choo kipya ila walikwama baada ya kupungukiwa na cement na matofali.
Mhe Mbunge ametoa tofali zote za   kumalizia choo pamoja na cement na vyote vililetwa Leo Leo pia Diwani wa Kata ya Poli atagharimia gharama za mafundi
Pia Mhe alitoa waya wa uzio kwa ajili ya ulinzi  solar shuleni hapo na Mhe Diwani atawalipa mafundi gharama za kujengea uzio huo.
Uongozi wa shule umeshukuru sana kwa msaada huo ambao utasaidia watoto kuondokana na adha hiyo.
Tukio la pill lilikua la kumpongeza mmoja wa wachezaji wawili bora kutoka mkoa wa Arusha walichaguliwa  Timu ya Taifa ya Chini ya miaka 15 ambaye anatokea shuleni Uraki na nyumbani kwao ni usariver.
 
Imetolewa na Katibu  ofisi ya Mbunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
Julius Ayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *